Umeongeza kwenye kikapu!
Kitabu Masomo Faida Bei Maswali
Uzalishaji
Mwongozo Kamili Wa Ujasiriamali

Jifunze Kutengeneza
Bidhaa, Hatua Kwa Hatua

Kitabu hiki kitakupa uwezo wa kujifunza uzalishaji wa bidhaa mbalimbali. Utajifunza Uzalishaji, Malighafi na zaidi.

** Utaweza Kutengeneza Bidhaa Za Ujasiriamali Bila Kuelekezwa na mtu. Maelekezo Yapo Mwanzo Mpaka Mwisho.

0
Kina Pages
0
% Maelekezo
0
BEI YA OFA
Mjasiriamali Hodari

Jifunze
Kutengeneza
Bidhaa

Hatua Kwa Hatua

Sabuni za vipande, Ubuyu,Karanga za mayai n.k
Biskuti, Crips, Tambi za Dengu
Bidhaa Za Viwandani
Tsh 5,000/= tu!
Sabuni za Vipande ◆ Shampuu Za Nywele ◆ Cripsi ◆ Mafuta Ya Nazi ◆ Chaki ◆ Sabuni Za Maji ◆ Jeli Ya Kuoshea Mikono ◆ Biskuti Za Tangawizi ◆ Tambi Za Dengu ◆ Sabuni za Kusafisha Vyoo ◆ Sabuni Za Kigoma ◆ Shampuu Za Nywele ◆ Cripsi ◆ Mafuta Ya Nazi ◆ Chaki ◆ Sabuni Za Maji ◆ Jeli Za Kuoshea Mikono ◆ Biskuti Za Tangawizi ◆ Tambi Za Dengu ◆ Sabuni Ya Unga ◆
Uzalishaji
Mwongozo Kamili
Kuanzia Malighachi Mpaka Bidhaa Ya Mwisho
Kuhusu Kitabu

Mwongozo Wa Ujasiriamali Kwa Vitendo!

Kijitabu hiki kitakupa uwezo wa kujifunza uzalishaji wa bidhaa mbalimbali, hatua kwa hatua. Utajifunza Uzalishaji, Bidhaa, Malighafi na mengine mengi.

Utaweza Kutengeneza Bidhaa Zaidi Za Ujasiriamali bila kutegemea maelekezo ya mtu. Maelekezo yote ni ya mwanzo mpaka mwisho.

Hakuna Matangazo
Maelekezo Yapo Mwanzo mpaka Mwisho
Bei za makadirio ya Malighafi
Fomula Za Sabuni
Masomo kwa njia rahisi

Miongoni mwa Masomo,
Utajifunza Kutengeneza: -

Karanga za Mayai
Ubuyu Wa Zanzibar
Tambi Za Dengu
Ubuyu Wa Zanzibar
Biskuti
Biskuti Za Tangawizi
Ginger biscuits
Vizizi
Crisps / chips za viazi
Bidhaa Za Viwanda
Uzalishaji wa viwanda
Kwa Nini Kitabu Hiki?

Faida Za Mjasiriamali Hodari

Mwongozo Kamili

Maelekezo ya kwanza mpaka mwisho — hakuna kitu cha kuachwa. Kila hatua imeelezwa kwa uwazi.

Bei Ya Malighafi

Orodha ya malighafi na bei zake. Utajua kila kitu kinagharimu kiasi gani kabla ya kuanza.

Hakuna Matangazo

Sio kama kurasa nyingine zenye matangazo. Hapa maelekezo yote ni ya moja kwa moja.

Marekebisho Ya Kiwango

Jinsi ya kurekebisha bidhaa ili iwe na kiwango cha juu na kushindana sokoni.

Mkakati Wa Biashara

Mwongozo wa jinsi ya kuuza, kuweka bei, na kupanua biashara yako hatua kwa hatua.

Jumuiya Ya Wawezeshaji

Ungana na wajasiriamali wengine walionunua kitabu na kufanikiwa kutengeneza bidhaa.

Bei Maalum

Pata Kitabu Kwa Tsh 5,000/= Tu

V1.0
Tsh 15,000/=
Tsh 5,000/=
Malipo ya mara moja tu
Masomo yana jitosheleza
Orodha ya malighafi na vipimo
Pakua/Download baada ya malipo
Maelekezo kwa hatua
Masomo Yataongezwa Mara Kwa Mara
Nunua Sasa
Malipo salama · Pakua kitabu baada ya Malipo
Maswali Ya Kawaida

Maswali Yanayoulizwa Sana

Kitabu hiki ni kwa ajili ya kila mtu anayetaka kujifunza kutengeneza bidhaa kwa ajili ya biashara. Iwe wewe ni mwanafunzi, mama wa nyumbani, au mtu anayefanya kazi — maelekezo ni rahisi.

Hapana! Kitabu kinamaelekezo. Kila maelekezo unaanza na vitu vya msingi na kuendelea hatua kwa hatua.

Ndio! Unaweza kulipia kwa Tigopesa (MixbyYas), airtel money n.k.

Kuna link utapata yakupakua (ku download moja kwa moja).

Kitabu kina orodha ya malighafi zinazopatikana Tanzania. Karibuni tuwaweka links za wauzaji wa malighafi hapa (Tupigie kama ni muuzaji tuweke taarifa zako hapa 0795757460).

Maoni Ya Watu

Wanasemaje?

"Nimejifunza kutengeneza sabuni. Kwa Tsh 5,000 tu?. Asante kwa kitabu hiki!"

AM
Amina Mohamed
Dar es Salaam

"Maelekezo ni mazuri. Sasa nimeweza kuanza ujasiriamali. Nilianza na Tsh 15,000 na sasa nina mtaji wa laki tatu na tisini."

JK
Joseph Kimaro
Arusha

"Kitabu kizuri sana! Ningependa muongeze masomo zaidi ya vyakula. Lakini kwa sasa nimefurahia sana nilichojifunza."

FW
Fatma William
Mwanza
Anza Sasa

Upo Tayari Kuwa Mjasiriamali Hodari?

Usikose nafasi ya kujifunza stadi za uzalishaji wa bidhaa. Kwa Tsh 5,000/= tu, utapata mwongozo kamili wa kuanza biashara yako.

Download baada ya malipo · Malipo salama · Pakua baada ya kulipia